Nani mkali?

Nani mkali?

n00b

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2008
Posts
1,015
Reaction score
2,680
Rose+Ndauka.jpg

Oscar Ndauka


Hadija+Sure.jpg

Hadija Sure


Neema+Chande.jpg

Neema Chande

Jokate+.jpg

Jokate Mwegelo



Wema+crop.jpg

Wema Sepetu
 
kaka hapo na mimi nimekubali. She's beautiful in a special way. Look at that beauty in her eye. God is so creative.
 
Kama dada zako wa kisukuma wako kama huyu tuairishe mkataba....she is phatty umeshamuona nyuma hajajaa alafu angalia anavyovaa ngrrrrr!!!
 



Jokate+.jpg

Jokate Mwegelo



Pimbi, chaguo langu ni huyo hapo juu.

Halafu nyie wakorofi hapo juu naona wote mnamatatizo ya macho.... kapimeni! Kwa machaguo yenu hamchelewi kuniambia huyu hapa chini pia ana macho manne....

mama-albums-album-picture58-hey-you.jpg
 
Pimbi, chaguo langu ni huyo hapo juu.

Halafu nyie wakorofi hapo juu naona wote mnamatatizo ya macho.... kapimeni! Kwa machaguo yenu hamchelewi kuniambia huyu hapa chini pia ana macho manne....

mama-albums-album-picture58-hey-you.jpg
Steve hako nakakubali ila kameanza kuchuja kakiacha kumegwa na vibabu vya kizungu katarudi enzi zake kama chini hapa
jokatebc.jpg

Nilkikuwa na picha zake nyingi lakini tangu kaanze tabia za kufukuzia wazungu basi....
jokate-3.jpg
 
Yoyo utanisamehe... nimeingia kwenye mjadala niki judge mwonekano kwa picha kama zilivyowekwa hapa na si tabia za watu au maisha yao. Kulingana na jinsi pimbi alivyoweka picha, chaguo langu ndiyo hilo... hayo ya wazee wa kizungu au mambo ya heineken siyajui.. heshima mbele... baadae.
 
Back
Top Bottom