Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Kati yao hamna anayeweza kumtumbua mwenzie. Wote ma taita ktk idara zao.... Kikubwa kuheshimiana tu
FB_IMG_16189140843268586.jpg
 
Alafu hao jamaa wa TISS ndo wamechagua kaunda suti za fundi sudi ndo kuwa jezi zao? Utamafananishaje na mtu anauevaa gwanda full cadet. Buti kubwa... Tumia akili
 
Wakuu hope mko poa

Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)

Karibu mtujuze mnaojua
Usalama wa Taifa ni mdogo,lakini ndie mwenye intelligence/taarifa nyingi za kijasusi,na mbinu nyingi za kupata hizo taarifa,hata akitaka ajue CDF,kama ana kibamia,au ni homosexual,au michepuko yote ya CDF,na viongozi wakuu wa nchi,anaweza kujua.
 
Mkuu wa usalama ni mkubwa! Jeshi ni sehemu ya vyombo vya usalama vingine ni magereza, polisi, uhamiaji nk. Mkuu wa usalama anacontrol vyote hivyo
 
Back
Top Bottom