Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Mbona Mara nyingi meko alikuwa anasafiri na Diwani

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
ile ilikuwa ni hofu yake tu iliyochanganyika na ushamba.

alikuwa ana hofu endapo wasingekuwa wanaambatanae wangeweza kumuhujumu na kupanga mikakati ya kumpidua.

nilikuwa nashangaa alikuwa anasafiri na mkurugenzi wa tiss mpaka kwenye nchi jirani alizokuwa anatembelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…