Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,558
ThibitishaJeshi ni nchi ndani ya nchi.
Lina idara zote ambazo zipo serikalini ikiwemo usalama wenyewe.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ThibitishaJeshi ni nchi ndani ya nchi.
Lina idara zote ambazo zipo serikalini ikiwemo usalama wenyewe.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nenda katembelee kambi za jeshiThibitisha
Nitembelee kivipi mkuu wakati muda wote nipo humu kambini.Nenda katembelee kambi za jeshi
Basi uliza hayo niliyoandika kama yapo au laNitembelee kivipi mkuu wakati muda wote nipo humu kambini.
unashindwa kujibu hoja unatapa tapa tuBasi uliza hayo niliyoandika kama yapo au la
Wewe umesema upo kambini halafu unataka nithibitishe kwa maneno wakati una nafasi ya kujionea mwenyewe.unashindwa kujibu hoja unatapa tapa tu
Hauna unachikifahamu boya wewe.Jeshi ni nchi ndani ya nchi.
Lina idara zote ambazo zipo serikalini ikiwemo usalama wenyewe.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sio Kila aliopo kambini ni mwanajeshi, ufahamu wako kaupige msasaWewe umesema upo kambini halafu unataka nithibitishe kwa maneno wakati una nafasi ya kujionea mwenyewe.
We mwanajeshi kweli?
Anajikuta anapwayuka tope la kijani tuHauna unachikifahamu boya wewe.
Ndo maana huwezi elew logic ndogo, umezoea maisha ya kutafuniwa.Sio Kila aliopo kambini ni mwanajeshi, ufahamu wako kaupige msasa
Huna hojaNdo maana huwezi elew logic ndogo, umezoea maisha ya kutafuniwa.
ile ilikuwa ni hofu yake tu iliyochanganyika na ushamba.Mbona Mara nyingi meko alikuwa anasafiri na Diwani
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
jichunguze akili yakoHuna hoja
umejaza matusi kichwani, huna loloteHauna unachikifahamu boya wewe.
Poyoyo wewejichunguze akili yako
matusi yanaprove ni nini umebeba kwenye ubongo wakoPoyoyo wewe
Naona umekusanya nondo[emoji19]