Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Dkt. Slaa amegusia juu ya Lissu kupigwa risasi na kudai kuwa huenda CHADEMA walihusika maana walikuwa na makundi ya kigaidi yaliyofanya uhalifu wa kigaidi ili kuichafua serikali.
Dkt. Mollel nae aliibuka huko nyuma akiwa Bungeni na kudai CHADEMA walimtwanga Lissu risasi na aliongea bila kupindisha maneno.
Sasa Polisi kama wamepewa hints juu ya wahusika ambao ni CHADEMA kwa nini hawachukui hatua?