Chadema mlivyo mataahira mnadhani kila kitu Duniani kinapelelezwa na majibu yanapatikana.MACCM WAJINGA SANA.
VYOMBO VYOTE VYA DOLA NI VYAO KWA NINI WASIPELELEZE NA KUWAAIBISHA CHADEMA?
MAANA YAKE HAYO MNAYOSEMA SI KWELI.
Kuna public crimes na private crimes.Sasa Polisi kama wamepewa hints juu ya wahusika ambao ni Chadema kwa nini hawachukui hatua?
Mkipelekwa mahakamani mnadai kwenye vyombo vya dola mnadai ni kwasbb ya Katiba Mpya na ni mbinu za kufifisha upinzani. Ila kama ni kweli haya matendo yanafanyika damu za watu mtazilipia. Ndo maana sasa hivi chama hakina mvuto kabisa mitaani. Mmebaki kumsema marehemu vibaya kwasbb alijua kuzikabili hila zenu.MACCM WAJINGA SANA.
VYOMBO VYOTE VYA DOLA NI VYAO KWA NINI WASIPELELEZE NA KUWAAIBISHA CHADEMA?
MAANA YAKE HAYO MNAYOSEMA SI KWELI.
Hao wawili walikuwa Chadema hivyo walishiriki moja kwa moja kwenye uhalifu huo, wao wakamatwe ili waeleze jinsi walivyopanga hiyo njama, hii si siasa bali ni uhalifu.Dk Slaa amegusia juu ya Lissu kupigwa risasi na kudai kuwa huenda Chadema walihusika maana walikuwa na makundi ya kigaidi yaliyofanya uhalifu wa kigaidi ili kuichafua serikali...
Si mlisema kimekufa??Chadema mlivyo mataahira mnadhani kila kitu Duniani kinapelelezwa na majibu yanapatikana.
Nenda hata huko nchi zilizoendelea kuna cold cases kibao ambazo bado ushahidi haujapatikana pamoja na kwamba wanaweza kua na circumstantial evidences lakini kama hakuna hard evidence huwezi kupeleka mtu mahakamani.
Ni kwamba, hapa Duniani watu wengi tu wanafanya matukio mabaya na bado hawakamatwi na vyombo vya dola kutokana na kutokuacha hata tone la ushahidi.
Sasa kwa msingi huo, Chadema inawezekana kabisa mkawa mnafanya perfect crimes na bado msikamatwe unless someone from the inside kama alivyofanya Slaa atoe mwanga ama picha ya kinachoendelea kwa ndani.
Sasa mnatupia lawama vyombo vya dola eti vifanye upelelezi, sio kila kosa linafanyiwa upelelezi na mtuhumiwa kupatikana.
Ushahidi uliopo sasa ni wa kimazingira kua Chadema walimteka na kumuua Ben ingawa hakuna ushahidi mgumu wa kuwapeleka mahakamani. Hii pia imetokea kwa Lisu.
Chadema ni chama kinachojiendesha kama kikundi cha mafioso, Mafia style.
Dereva wa Lissu Kwann amefichwa mpaka Leo? Na usishangae tukaambiwa alishakufa. Tumia akili kutafakari. CCTV Camera ilichukuliwa na polisi na walitoa taarifa kwamba ni sehemu ya ushahidi. Sasa wahusika wote wamekimbia nchi, polisi wafanye nn?Ni wapuuzi wale walio toa CTV camera kwenye eneo la serikali,, na wale walinzi wanao linda eneo lile ni waCDM???
my take CCM yangu tukumbuke hatuta tawala milele yatakuja ibuka hizo skendo na sijui tutaficha wapi sura zetu,,
Dr Slaa na Dr Molel watu wa kuwaombea wanazeeka vibaya.. Pumzikeni achaneni na siasa zitawagharimu bule wapi wapi mzee wa Kongwa (Ndugai,)
Ikiwa chadema waliweza kuingia mahala pa serikali penye ulinzi mkali na kamera cctv wakashambulia kwa silaha nzito na wasijulikane basi nchi itakuwa idara za usalama zimekufa.Mwenye akili atafakari mara2Dk Slaa amegusia juu ya Lissu kupigwa risasi na kudai kuwa huenda Chadema walihusika maana walikuwa na makundi ya kigaidi yaliyofanya uhalifu wa kigaidi ili kuichafua serikali.
Dk Mollel nae aliibuka huko nyuma akiwa Bungeni na kudai Chadema walimtwanga Lissu risasi na aliongea bila kupindisha maneno.
Sasa Polisi kama wamepewa hints juu ya wahusika ambao ni Chadema kwa nini hawachukui hatua?
Private crime ni kama vile kumchinja mtoto wako na kumfanya kitoweo. Si ndio wakili?Kuna public crimes na private crimes.