Salam, Hii chanel ipo kwenye other channel Azam no 1023. Hawa jamaa sio Siri wanapiga miziki mchanganyiko sana.
Dstv Hip Tv wanajitahidi ila miziki mingi wanapiga ya kinajeria.
Hongereni sana wajuba wanaomiliki hii TV.
Mpaka Sasa ndio nazidi kuchanganyikiwa Kua Azam na Dstv nani mkali.
NB majirani mtanikoma manake Nina Dish zote mbili.