Nani mmiliki wa Thunder Television?

Nani mmiliki wa Thunder Television?

KISS 100

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2021
Posts
528
Reaction score
1,120
Salam, Hii chanel ipo kwenye other channel Azam no 1023. Hawa jamaa sio Siri wanapiga miziki mchanganyiko sana.

Dstv Hip Tv wanajitahidi ila miziki mingi wanapiga ya kinajeria.

Hongereni sana wajuba wanaomiliki hii TV.

Mpaka Sasa ndio nazidi kuchanganyikiwa Kua Azam na Dstv nani mkali.

NB majirani mtanikoma manake Nina Dish zote mbili.
 
Toka hapo kwa mjomba


Mkuu umeanza mpaka kuweka mpambano wa ving’amuzi
Ajira ngumu kweli wakuu😂
 
Back
Top Bottom