ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Nandy jana sikupenda perfomance yake niliyotazama kwenye tv maana sikuwepo live.Kati ya hawa wasanii solo wapya ubongoflevani yaani Nandy na Becka flavour, nani ni mkali, nani ana hit kali, nandy ana track ka gusa gusa, wasikudanganye, beka ana libebe na sarafina. toa maoni kabla mabosi hawajafuta uzi, maana siku hizi wakali hao
kwahiyo umeamua kuleta conclusion baada ya kuon hupati sapoti!..Mkali ni beka nandy anabebwa na luge mutaba