ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kati ya hawa wasanii solo wapya ubongoflevani yaani Nandy na Becka flavour, nani ni mkali, nani ana hit kali, nandy ana track ya gusagusa, wasikudanganye, beka ana libebe na sarafina.
Toa maoni
Toa maoni