Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Nimeshangaa sana wadau kuona jeneza lililofunikwa kwa rangi ya chama. Ama kweli kesho ndo kifo cha magamba aka ESCROW. Inshala na itokee!
 
Nimeenjoy..polen wanalapa...wa2 walijaa sana hadi raha..mliokosa kuja poleni..uwanjan kuna raha zake yakhe
 
mashabiki wa yanga kimya leo as if wamekula gundi
 
Alafu hivi ni kwa nini wasichana na wanawake wazuri hapa bongo wote ni washabiki wa Simba? Sijawahi kuona mbaya, ila upande wa pili pale jangwani, sina la kusema!
 
Hata Mimi nimeona mkuu, yaani ni kama vile ukawa ilikuwa inaizika ccm, jeneza ilikuwa kama ni la ccm
 
Wameganda kama wamekunywa gundi. Wameinama kuinuka viwili tayari.
 
Back
Top Bottom