Kichwa Cha Habari Kimeshajieleza Na Najiamini Kwa Asilimia Zote100 Kwani Tumeshamaliza Kila Kitu. Na Yanga Mkifungwa Wa Kuwalaumu Ni Wachezaji Wenu Hawa Watatu Nadir Haroub, Kelvin Yondan Na Simon Msuva.........Kwanini SIRI NINAYO Mwenyewe......Kila Tajwa Hapo Juu Lazima Atatoa Boko Moko Kwa Simba Hivyo Mtafungwa Idadi Ya Magoli Ya Wachezaji Tajwa Hapo Juu.....................NIMEMALIZA na Nawasilisha!
Una uhakika? au ulitaka nawe uonekane umeanzisha uzi?
hivi wewe rais gani mroho namna hii.hamna lolote mnataka mpige entrance fee ya maana,nitoke Mwanza kuja kuangalia mechi Dar,huu si ufala.hapo tiyari ushachakachua tiketi hata za 10m!nyie CCM waizi sana
mkuu si wengine tupo mbali na dsm kwa hiyo tutakosa uhondo
Matokeo ya kufungua vizibo hadi saa tano usiku leo.
View attachment 209809
Simba Wanaendelea Kuazima Wachezaji Kutoka Uganda, Sasa Wamefikia Waganda 5 Ili Wacheze Mtani Jembe Halafu Wawarudishe. Hii Inatokana Kikosi Chao Kuwa Kibovu Kwa Kuruhusu Kufungwa 4-2 Na Mtibwa Sugar, Hivyo Wanahofia Mechi Hiyo Ya Watani Wa Jadi Watafungwa Zaidi Ya Hayo.
Itabidi mjitahidi sana maana Combination ya Okwi, Sserunkuma na Tambwe ni balaa tupu. Halafu kati yupo fundi mwenyewe Mkude akisaidiwa kupandisha timu na Ramadhani Singano na Said Ndemla au Shaban Kisiga.Safari hii acha nao washinde kwenye ulevi, sisi tutashinda uwanjani.
Simba Wanaendelea Kuazima Wachezaji Kutoka Uganda, Sasa Wamefikia Waganda 5 Ili Wacheze Mtani Jembe Halafu Wawarudishe. Hii Inatokana Kikosi Chao Kuwa Kibovu Kwa Kuruhusu Kufungwa 4-2 Na Mtibwa Sugar, Hivyo Wanahofia Mechi Hiyo Ya Watani Wa Jadi Watafungwa Zaidi Ya Hayo.
Usipate hofu Mkuu, wachezaji watakaocheza ni wale waliokamilisha taratibu za usajili hivyo kwa wageni pale Simba ni Danny Sserunkuma pekee mwenye sifa za kucheza mechi hiyo, hao Waganda wengine watakuwa watazamaji tu kama mimi na wewe.
Kifo cha Mnyama kiko pale pale, Maustadhi wakae mkao wa kuelekeza shingo yake Kibra!
Ndugu yangu Pdidy na wadau wengine nisaidieni tafdhali nipeni taarifa za matukio kama kwa simu,sms au whattsup 0754815543 nitafuatiliaMkuu Kamanda Malinzi
zile mambo zetu za ma FFU kutuuzia tkt mara mbili tumejipangaje kwa hilo
kununua wote mtandaoni ngumu hioyo iko wazi ..tuangalie na mbadala wale wanaonunua uwanjani
mmejiandaaje kuwaasaidia kupata tkt kwa bei halali....
Mbaya zaidi nauziwa tkt na Polisi anaetakiwa kunilinda mbaya zaidi yuko kwenye basi ya TFF ambayo wako dereva na watu kadhaa wao wanadai zimeisha ...nenda nyuma unakuta mapolisi wamekaa kwenye bench za nyuma wakiuza bila aibu 10,000 kwa 20,000 20 kwa 40 alf inaumiza sana sana
Itabidi mjitahidi sana maana Combination ya Okwi, Sserunkuma na Tambwe ni balaa tupu. Halafu kati yupo fundi mwenyewe Mkude akisaidiwa kupandisha timu na Ramadhani Singano na Said Ndemla au Shaban Kisiga.
nasikiliza East Africa Radio wanasema refa atakuwa wa kike.
naomba pia muwe mnanitonya taarifa za hongo mpirani (match fixing).Nataka tuwakamate na kuwaadhibu wanaotuharibia mpira kwa kuwapiga kifungo cha maisha tukiwabaini.Tunachotaka ni fair play.Mkuu jm
nikupongeze ni raisi wa kwanza kutUpa namba yako hadharani kuokoa uovu
tuko na wewe kwa hili tutafanya kama ulivyo advs
usiku mwmema bundle imeisha
this time hakuna sare,sijui mtatokea wapi na maserekuma yenu..nitawamis sana hapa jf