Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Kichwa Cha Habari Kimeshajieleza Na Najiamini Kwa Asilimia Zote100 Kwani Tumeshamaliza Kila Kitu. Na Yanga Mkifungwa Wa Kuwalaumu Ni Wachezaji Wenu Hawa Watatu Nadir Haroub, Kelvin Yondan Na Simon Msuva.........Kwanini SIRI NINAYO Mwenyewe......Kila Tajwa Hapo Juu Lazima Atatoa Boko Moko Kwa Simba Hivyo Mtafungwa Idadi Ya Magoli Ya Wachezaji Tajwa Hapo Juu.....................NIMEMALIZA na Nawasilisha!

Rage Amerudi Tena?? Au Aveva Nae Kaanza Kununua Wachezaji?,
 
Una uhakika? au ulitaka nawe uonekane umeanzisha uzi?

Pita Tu Mkuu Na Usitake Nikakupa Makavu Humu Ukaniona Mbaya....POPOMA Mkubwa Weye! Ndiyo Maana Sura Yako Mbaya Kama UGOKO Wa Cannavaro.
 
hivi wewe rais gani mroho namna hii.hamna lolote mnataka mpige entrance fee ya maana,nitoke Mwanza kuja kuangalia mechi Dar,huu si ufala.hapo tiyari ushachakachua tiketi hata za 10m!nyie CCM waizi sana

Japo Ni Watani Zangu ILA Sijawahi Kuona Mhaya Bogus Kama Huyo!
 
Matokeo ya kufungua vizibo hadi saa tano usiku leo.
Simba.JPG
 
Simba Wanaendelea Kuazima Wachezaji Kutoka Uganda, Sasa Wamefikia Waganda 5 Ili Wacheze Mtani Jembe Halafu Wawarudishe. Hii Inatokana Kikosi Chao Kuwa Kibovu Kwa Kuruhusu Kufungwa 4-2 Na Mtibwa Sugar, Hivyo Wanahofia Mechi Hiyo Ya Watani Wa Jadi Watafungwa Zaidi Ya Hayo.
 
Usipate hofu Mkuu, wachezaji watakaocheza ni wale waliokamilisha taratibu za usajili hivyo kwa wageni pale Simba ni Danny Sserunkuma pekee mwenye sifa za kucheza mechi hiyo, hao Waganda wengine watakuwa watazamaji tu kama mimi na wewe.

Kifo cha Mnyama kiko pale pale, Maustadhi wakae mkao wa kuelekeza shingo yake Kibra!
 
Safari hii acha nao washinde kwenye ulevi, sisi tutashinda uwanjani.
Itabidi mjitahidi sana maana Combination ya Okwi, Sserunkuma na Tambwe ni balaa tupu. Halafu kati yupo fundi mwenyewe Mkude akisaidiwa kupandisha timu na Ramadhani Singano na Said Ndemla au Shaban Kisiga.
 
Simba Wanaendelea Kuazima Wachezaji Kutoka Uganda, Sasa Wamefikia Waganda 5 Ili Wacheze Mtani Jembe Halafu Wawarudishe. Hii Inatokana Kikosi Chao Kuwa Kibovu Kwa Kuruhusu Kufungwa 4-2 Na Mtibwa Sugar, Hivyo Wanahofia Mechi Hiyo Ya Watani Wa Jadi Watafungwa Zaidi Ya Hayo.

Kandambili pia mnaruhusiwa kuazima wabrazil wengine watatu, ili waje kupunguza idadi ya goli tutakazowafunga.
 
Usipate hofu Mkuu, wachezaji watakaocheza ni wale waliokamilisha taratibu za usajili hivyo kwa wageni pale Simba ni Danny Sserunkuma pekee mwenye sifa za kucheza mechi hiyo, hao Waganda wengine watakuwa watazamaji tu kama mimi na wewe.

Kifo cha Mnyama kiko pale pale, Maustadhi wakae mkao wa kuelekeza shingo yake Kibra!

Mkuu Makoye

wameruhusu bana hata wasiosajiliwa wanaotarajia kuwasajili watacheza so wasihofu wajaze wanaowataka
 
Mkuu Kamanda Malinzi

zile mambo zetu za ma FFU kutuuzia tkt mara mbili tumejipangaje kwa hilo

kununua wote mtandaoni ngumu hioyo iko wazi ..tuangalie na mbadala wale wanaonunua uwanjani

mmejiandaaje kuwaasaidia kupata tkt kwa bei halali....

Mbaya zaidi nauziwa tkt na Polisi anaetakiwa kunilinda mbaya zaidi yuko kwenye basi ya TFF ambayo wako dereva na watu kadhaa wao wanadai zimeisha ...nenda nyuma unakuta mapolisi wamekaa kwenye bench za nyuma wakiuza bila aibu 10,000 kwa 20,000 20 kwa 40 alf inaumiza sana sana
 
nasikiliza East Africa Radio wanasema refa atakuwa wa kike.
 
Ndugu yangu Pdidy na wadau wengine nisaidieni tafdhali nipeni taarifa za matukio kama kwa simu,sms au whattsup 0754815543 nitafuatilia
 
Last edited by a moderator:
Itabidi mjitahidi sana maana Combination ya Okwi, Sserunkuma na Tambwe ni balaa tupu. Halafu kati yupo fundi mwenyewe Mkude akisaidiwa kupandisha timu na Ramadhani Singano na Said Ndemla au Shaban Kisiga.

Hao Waganda si ndio wameshindwa kuivusha nchi yao kufuzu CAN, uhatari wao uko wapi sasa? Hao Wabongo uliowataja ni wa normal sana hatuna hofu nao, Mnyama lazima afe na hiyo mechi haina sare/ suluhu alizozizoea.
 
Mkuu jm

nikupongeze ni raisi wa kwanza kutUpa namba yako hadharani kuokoa uovu

tuko na wewe kwa hili tutafanya kama ulivyo advs

usiku mwmema bundle imeisha
 
nasikiliza East Africa Radio wanasema refa atakuwa wa kike.

Hahahaaa na vile vikaptula...natabiri matokeo yatakuwa bila bila.....hadi matutaaaa yapigwee....!
 
this time hakuna sare,sijui mtatokea wapi na maserekuma yenu..nitawamis sana hapa jf
 
Mkuu jm

nikupongeze ni raisi wa kwanza kutUpa namba yako hadharani kuokoa uovu

tuko na wewe kwa hili tutafanya kama ulivyo advs

usiku mwmema bundle imeisha
naomba pia muwe mnanitonya taarifa za hongo mpirani (match fixing).Nataka tuwakamate na kuwaadhibu wanaotuharibia mpira kwa kuwapiga kifungo cha maisha tukiwabaini.Tunachotaka ni fair play.
 
this time hakuna sare,sijui mtatokea wapi na maserekuma yenu..nitawamis sana hapa jf

hahaha.. eti mtatokea wapi na maserekuma yenu.. hayo maserekuma ndo tumeyakabidhi silaha za maangamizi.
 
Back
Top Bottom