Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Kichwa Cha Habari Kimeshajieleza Na Najiamini Kwa Asilimia Zote100 Kwani Tumeshamaliza Kila Kitu. Na Yanga Mkifungwa Wa Kuwalaumu Ni Wachezaji Wenu Hawa Watatu Nadir Haroub, Kelvin Yondan Na Simon Msuva.........Kwanini SIRI NINAYO Mwenyewe......Kila Tajwa Hapo Juu Lazima Atatoa Boko Moko Kwa Simba Hivyo Mtafungwa Idadi Ya Magoli Ya Wachezaji Tajwa Hapo Juu.....................NIMEMALIZA na Nawasilisha!

Lakini haikuwa hivyo na hivyo itoshe tu kusema vyanzo vyako vya habari siyo reliable!
 
ndio mtu wa kwanza kusikia unalalamika juu ya refa ,ulitaka refa afunge yeye magoli ya yanga ,timu yenu ni nzuri magazetini ila uwanjani ovyo kabisa ,na subirini na AZAM mtafute mchawi, mwishi SIMBA OYEEEE
Asante sana Mkuu. Mimi siumii kufungwa bali naumia maamuzi mabovu kiasi kile nadhani Jamal Malinzi na safu yake ya uongozi wanatakiwa kutambua kuwa mechi ya Yanga na Simba siyo ya kujifunzia kupuliza kipenga, kama huyo dada wanampenda ni vyema wakampeleka 'Sheraton' badala ya kumpa mechi kubwa kama ile hata kama ni ya mchangani.

Niko disappointed sana na mchezo wa jana!
 
Mechi kubwa na ya mchangani. Kweli kufungwa kama haupo makini una we za kupelekwa Mirembe. Mechi inawezaje kuwa kubwa na hapo hapo ikawa ya mchangani?

ndugu ule msemo wa mfa maji haachi kutapatapa si unaujua
 
ndio mtu wa kwanza kusikia unalalamika juu ya refa ,ulitaka refa afunge yeye magoli ya yanga ,timu yenu ni nzuri magazetini ila uwanjani ovyo kabisa ,na subirini na AZAM mtafute mchawi, mwishi SIMBA OYEEEE

woyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ila ndugu yangu, magoli yale hayahusiani kabisa na refa kuchemsha, au yale mliokosa wala hayahusiani na refa. Ni kosa lipi ambalo jana lilikuwa kubwa la kuigharimu yanga upande wa refa?

Simba walipiga viatu sana hata kupelekea beki wetu kisiki Mbuyu Twite kuumia, refa alitunyima penati ya wazi, Okwi kampa yellow cards 2 bila kumtoa nje na akaendelea kutusumbua takribani dakika 5 za kawaida na kisha kuendelea kutukosakosa dakika 4 za nyongeza. Magoli mliyofunga siyalalamikii hata moja lakini na sisi tungewapiga pia kama maamuzi yangekuwa sahihi. Huo ndio msingi wa malalamiko yangu kwa refa 'mkazi' wa jana. CC. Jamal Malinzi & Company TFF.
 
Last edited by a moderator:
Mechi kubwa na ya mchangani. Kweli kufungwa kama haupo makini una we za kupelekwa Mirembe. Mechi inawezaje kuwa kubwa na hapo hapo ikawa ya mchangani?

Mechi ni kubwa kwa maana ya Simba v Yanga, ni mechi ya mchangani kwa sababu si ya mashindano rasmi yanayotambuliwa na vyama vya soka kama vile FIFA, CAF au TFF. Kitu gani hukuelewa hapo wewe kilaza mkubwa!
 
ndio mtu wa kwanza kusikia unalalamika juu ya refa ,ulitaka refa afunge yeye magoli ya yanga ,timu yenu ni nzuri magazetini ila uwanjani ovyo kabisa ,na subirini na AZAM mtafute mchawi, mwishi SIMBA OYEEEE

Utasikia wapi malalamiko kutoka kwa wana Yanga wengine wakati wewe mwenyewe tangu jana uko viwanja ukijirusha utafikiri umetwaa kombe la Afrika.
 
Mechi ni kubwa kwa maana ya Simba v Yanga, ni mechi ya mchangani kwa sababu si ya mashindano rasmi yanayotambuliwa na vyama vya soka kama vile FIFA, CAF au TFF. Kitu gani hukuelewa hapo wewe kilaza mkubwa!

Uwanja wa TAIFA unaweza sema ni mchangani? Pole sana.
 
Mlaumu Awadh na Maguri ndio itakuwa na maana.Kuhusu Okwi kupewa kadi mbili za njano ni uongo wa kutengeneza.Aliyepewa kadi ni Maguri na Okwi akiwa ni captain alikuwa karibu kujua kinachoendelea. Twite alishindwa kwenda na spidi ya mchezo na miguvu isiyokuwa na mshiko. Na hakutolewa yeye tu bali ma proffs wenu wote wa mchangani walibadilishwa na kubaki wabongo. Msabato kama mechi ya mchangani mabovu yanakutoka ya nini?Refa my foot walaumu Awadh na Maguri ndio waliofanya unatokwa povu na wanane wakazimia.
 
Kweli umechanganyikiwa unasema hayatambuliwi na TFF halafu unawalaumu.
 
Kweli umechanganyikiwa unasema hayatambuliwi na TFF halafu unawalaumu.

Kilaza hata siku moja huwa haelewi hata kama angeeleweshwa vipi. Pole sana. Hata hivyo sihitaji kukulaumu sana maana ukilaza nao ni ulemavu kama ulivyo ulemavu wa ngozi, vingo n.k.
 
Pole upewe wewe uliyebong'oka wanaume wakapeleka viwili.
 
Kilaza mwingine huyu hapa. Pole sana.

Unamlaumu Jamal Malinzi kwa lipi wakati ni mechi ya mchangani?
Kama 5-0 za ligi ulikuwa normal leo hii hiyo ya mchangani unayoiita wewe 2-0 ndio zinakuchanganya hivyo?

Mpira wenu Magazetini.
 
Unamlaumu Jamal Malinzi kwa lipi wakati ni mechi ya mchangani?
Kama 5-0 za ligi ulikuwa normal leo hii hiyo ya mchangani unayoiita wewe 2-0 ndio zinakuchanganya hivyo?

Mpira wenu Magazetini.

Poor thinker!
 
ndugu zangu njooni tu uwanjani muangalie mechi.Hadi sasa hakuna makubaliano ya kurusha live mchezo huo.

Japo wewe hutakiwi kufungamana na timu yoyote lakini moyoni wewe ni shabiki wa Yanga.
Pole sana Rais wa TFF.
Y 0-2 S
 
Back
Top Bottom