Kichwa Cha Habari Kimeshajieleza Na Najiamini Kwa Asilimia Zote100 Kwani Tumeshamaliza Kila Kitu. Na Yanga Mkifungwa Wa Kuwalaumu Ni Wachezaji Wenu Hawa Watatu Nadir Haroub, Kelvin Yondan Na Simon Msuva.........Kwanini SIRI NINAYO Mwenyewe......Kila Tajwa Hapo Juu Lazima Atatoa Boko Moko Kwa Simba Hivyo Mtafungwa Idadi Ya Magoli Ya Wachezaji Tajwa Hapo Juu.....................NIMEMALIZA na Nawasilisha!
Asante sana Mkuu. Mimi siumii kufungwa bali naumia maamuzi mabovu kiasi kile nadhani Jamal Malinzi na safu yake ya uongozi wanatakiwa kutambua kuwa mechi ya Yanga na Simba siyo ya kujifunzia kupuliza kipenga, kama huyo dada wanampenda ni vyema wakampeleka 'Sheraton' badala ya kumpa mechi kubwa kama ile hata kama ni ya mchangani.
Niko disappointed sana na mchezo wa jana!
Mechi kubwa na ya mchangani. Kweli kufungwa kama haupo makini una we za kupelekwa Mirembe. Mechi inawezaje kuwa kubwa na hapo hapo ikawa ya mchangani?
ndio mtu wa kwanza kusikia unalalamika juu ya refa ,ulitaka refa afunge yeye magoli ya yanga ,timu yenu ni nzuri magazetini ila uwanjani ovyo kabisa ,na subirini na AZAM mtafute mchawi, mwishi SIMBA OYEEEE
Ila ndugu yangu, magoli yale hayahusiani kabisa na refa kuchemsha, au yale mliokosa wala hayahusiani na refa. Ni kosa lipi ambalo jana lilikuwa kubwa la kuigharimu yanga upande wa refa?
Mechi kubwa na ya mchangani. Kweli kufungwa kama haupo makini una we za kupelekwa Mirembe. Mechi inawezaje kuwa kubwa na hapo hapo ikawa ya mchangani?
ndio mtu wa kwanza kusikia unalalamika juu ya refa ,ulitaka refa afunge yeye magoli ya yanga ,timu yenu ni nzuri magazetini ila uwanjani ovyo kabisa ,na subirini na AZAM mtafute mchawi, mwishi SIMBA OYEEEE
Mechi ni kubwa kwa maana ya Simba v Yanga, ni mechi ya mchangani kwa sababu si ya mashindano rasmi yanayotambuliwa na vyama vya soka kama vile FIFA, CAF au TFF. Kitu gani hukuelewa hapo wewe kilaza mkubwa!
Uwanja wa TAIFA unaweza sema ni mchangani? Pole sana.
Makoye wa kitasha.
Kweli umechanganyikiwa unasema hayatambuliwi na TFF halafu unawalaumu.
Kilaza mwingine huyu hapa. Pole sana.
Unamlaumu Jamal Malinzi kwa lipi wakati ni mechi ya mchangani?
Kama 5-0 za ligi ulikuwa normal leo hii hiyo ya mchangani unayoiita wewe 2-0 ndio zinakuchanganya hivyo?
Mpira wenu Magazetini.
ndugu zangu njooni tu uwanjani muangalie mechi.Hadi sasa hakuna makubaliano ya kurusha live mchezo huo.