Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Naona Leo inachezeshwa na Mama!
 
tatizo yanga wakifungwa lazima walete visingizio,mfano leo watasema tumefungwa kisa refa wa kike
 
Yanga wana fanya kazi ya kuokoa tuu!
 
Sifuatilii hii mechi, leteni updates.
 
Nawasikiliza kina Kitenge na Katanga, wanaongea ongea tu vitu havielweki, hebu mlioko Taifa tupeni updates huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…