Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Weeeeeraaaaa tunatafuna hadi nywele leooo....chezzeiyyah mnyamaaa....
 
sisi Yanga tunajua kunywa bia tu. Mpira hatuna uwezo nao na Simba wametuzidi kwa kila Idara
 
natangaza Rasmi kuhama timu ya Yanga na kujiunga na Simba. Simba wera weraaaaaaa!
 
Back
Top Bottom