Nani mwanamke bora wa JamiiForums?

Asante mamie. Ijumaa imeanza vizuri kwa kusifiwa
Mie kwa upande wangu naona Numbisa kwenye uelimishaji panamfaa jamaani na elimu yake mkitaka kuifaidi inapatikana kwenye uzi wa likes huku ndio mtaona ubora wa huyu bidada.
 

witnessj hunikosha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…