Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mie alihamdulillahMie mzima kabisa yaani mdogo wangu. Sijui wewe?
Ahsante sana my dear.
You deserve my dear. Karibu sana sana.Asante mamie. Ijumaa imeanza vizuri kwa kusifiwa
Ahsante sana Kaka ake.Bacyclerbacy
Emmyta
Kapeace
Mzigua90
Leo ikiwa ni siku ya wanawake duniani
Mwanamke yupi amechangia kuifanya jf motooo!
Kwa michango yake ktk nyuzi na namna anavyotuelimisha na kutuchangamsha
Categories ni
Mburudishaji bora
Muelimishaji bora
Mjasiriamali bora
Sio mbaya tukiwa na mchunaji bora!
Leo ikiwa ni siku ya wanawake duniani
Mwanamke yupi amechangia kuifanya jf motooo!
Kwa michango yake ktk nyuzi na namna anavyotuelimisha na kutuchangamsha
Categories ni
Mburudishaji bora
Muelimishaji bora
Mjasiriamali bora
Sio mbaya tukiwa na mchunaji bora!
Vote now!
Vote now!