Menyainganyi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 1,170
- 1,102
Mamaaa Angel NylonLeo ikiwa ni siku ya wanawake duniani
Mwanamke yupi amechangia kuifanya jf motooo!
Kwa michango yake ktk nyuzi na namna anavyotuelimisha na kutuchangamsha
Categories ni
Mburudishaji bora
Muelimishaji bora
Mjasiriamali bora
Sio mbaya tukiwa na mchunaji bora!
Vote now!
AiseeCocochanel pekee wengine wote mambulula!
Wako huo? [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]View attachment 707712
Mdomo umegoma kufunguka kutamka neno .
Kinachowezekana ni kipi?Haiwezekani
Jitaje tu wala usisubiri kutajwaView attachment 707712
Mdomo umegoma kufunguka kutamka neno .