Nani mwanamke bora wa JamiiForums?

Acha avatar zako hizo ule vinono ujue unajikosesha warembo eti
Warembo Wa ukweli hawezi hangaishwa na vitu kama avatar

Mwingine anaweka ya kiume na hana marinda!
Think out the box
 
Warembo Wa ukweli hawezi hangaishwa na vitu kama avatar

Mwingine anaweka ya kiume na hana marinda!
Think out the box
Mi niweke ya kuvutia na ww hivyohivyo kuna vitu vingine hata havihitaji kukaza sana mishipa
 
Mi niweke ya kuvutia na ww hivyohivyo kuna vitu vingine hata havihitaji kukaza sana mishipa
Sasa inategemea unavutia nn! You know!
Madanga or what!

Mimi naweka shepu zinazonivutia!
Ni sawa na kuingia ghetto kwangu na kukuta mapicha mapicha ya mademu bomba!
 
Sasa inategemea unavutia nn! You know!
Madanga or what!

Mimi naweka shepu zinazonivutia!
Ni sawa na kuingia ghetto kwangu na kukuta mapicha mapicha ya mademu bomba!
Basi hunifai nije kwako nikute umebandika za akina Beyonce sijui rihana badala ya zangu akiiiii
 
Basi hunifai nije kwako nikute umebandika za akina Beyonce sijui rihana badala ya zangu akiiiii
Jf everything is fake!
Wapi unapata shida wapi
Kuna walioweka avatar Za maua au majengo kwani wako hivyo!?

Ndo maana nikasema hujatulia na wewe!
Kuniacha kisa avatar lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…