Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha avatar zako hizo ule vinono ujue unajikosesha warembo etiUsimwamini mwanamke ni kama mwanasiasa
Mi niweke ya kuvutia na ww hivyohivyo kuna vitu vingine hata havihitaji kukaza sana mishipaWarembo Wa ukweli hawezi hangaishwa na vitu kama avatar
Mwingine anaweka ya kiume na hana marinda!
Think out the box
Kazi kweli kweliUmeona mkuu
Je, we unapenda?Mkuu mbona tangu Jana niliweka picha yangu halisi mods wameitoa
Labda wanapenda nitumie hizi avatar!
@ukhuty nimekumissbadilisha bwana tumia avatar ya kiume boss
Sasa inategemea unavutia nn! You know!Mi niweke ya kuvutia na ww hivyohivyo kuna vitu vingine hata havihitaji kukaza sana mishipa
nipo ndugu wew ndo huonekani@ukhuty nimekumiss
Basi hunifai nije kwako nikute umebandika za akina Beyonce sijui rihana badala ya zangu akiiiiiSasa inategemea unavutia nn! You know!
Madanga or what!
Mimi naweka shepu zinazonivutia!
Ni sawa na kuingia ghetto kwangu na kukuta mapicha mapicha ya mademu bomba!
Jf everything is fake!Basi hunifai nije kwako nikute umebandika za akina Beyonce sijui rihana badala ya zangu akiiiii
Love wewe ndo mwanamke wangu bora na unajua........Nakupenda sana mzigua wangu
Ahsante sana mdogo wangu.Emmyta
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Shunie, Demiss, mzigua90 na emmyta wako njema sana
Hahahaaa. Hatariiii. Lol.eee ni bab angu