Nani mwanamke bora wa JamiiForums?

Nani mwanamke bora wa JamiiForums?

Leo ikiwa ni siku ya wanawake duniani
Mwanamke yupi amechangia kuifanya jf motooo!

Kwa michango yake ktk nyuzi na namna anavyotuelimisha na kutuchangamsha
Categories ni

Mburudishaji bora

Muelimishaji bora

Mjasiriamali bora

Sio mbaya tukiwa na mchunaji bora!

Vote now!
Asha Daudi Abinala AshaDii. Unamfahamu?
 
@Ms Lincolin popote ulipo mama hii Tuzo yako jf nzima hakuna
 
Leo ikiwa ni siku ya wanawake duniani
Mwanamke yupi amechangia kuifanya jf motooo!

Kwa michango yake ktk nyuzi na namna anavyotuelimisha na kutuchangamsha
Categories ni

Mburudishaji bora

Muelimishaji bora

Mjasiriamali bora

Sio mbaya tukiwa na mchunaji bora!

Vote now!
Anayejielewa ambaye ni madam B....
 
Back
Top Bottom