Nani mwanamke bora wa JamiiForums?

Nani mwanamke bora wa JamiiForums?

Kiukweli nashindwa kutambua uwezo wa wanawake wa humu simuoni wakumuita mwanamke bora aliyefanya jambo la maana kama wapo basi ni wawili watatu mana wengi wapo jukwaa moja kila siku wanaamasisha ngono
 
Nashukuru kwamba ubora wangu anajua yeye mwingine akiujua itabidi nijiulize kaujuaje? Ahahaha
 
Emmyta anaongoza hadi sasa
kwa kura 25

Mchuano unaendelea hadi kesho!
 
Kiukweli nashindwa kutambua uwezo wa wanawake wa humu simuoni wakumuita mwanamke bora aliyefanya jambo la maana kama wapo basi ni wawili watatu mana wengi wapo jukwaa moja kila siku wanaamasisha ngono
Wataje hao wawili watatu
 
Back
Top Bottom