Nani mwanzilishi wa neno 'mbususu' humu JF?

Kamulimuli

Member
Joined
Mar 25, 2023
Posts
71
Reaction score
89
Sina muda mrefu toka nimejiunga humu, kitu nilichogundua humu Jf kuna misamiati inayotumika humu inafurahisha sana ambayo kuisikia sehemu nyingne ni kazi.

Mfano 'kuchakata mbususu', hili neno kwa mara ya kwanza nimeliona humu, na kuna ile mtu akiposti uongo watu wanasema "Chai", nani mwanzilishi wa hayo maneno?

Neno gani jingine ulilokutana nalo humu kwa mara ya kwanza likakufurahisha?
 
Kabla ya hapo tulikuwa tunaiita papuchi, sijui nani alileta la mbususu
 
kuna neno jingine ni 'povu', unajua maana yake?
 
kuna neno jingine ni 'povu', unajua maana yake?
 
kuna neno jingine ni 'povu', unajua maana yake?
 
 
Mbususu ni kichakatwa kinachochakatika pale kinapokutana na mchakataji kwenye mchakato
 

Hebu ambatanisha na picha kuweka msisitizoo kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…