NANI MWENYE JIBU HAPA

PAGAMECO

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
1,206
Reaction score
1,237
Tangu Nimejiunga Na JF miaka 2.30 iliyopita Nimejifunza Mengi Ila Hili Lina Nishangaza Asilimia 95% threads Zina 5[emoji106] Like Tu? Au comment Zina 5[emoji106] Like Tu? ...je huo ni Utaratibu Au Chating Principle nawakilisha Kwenu wakuu .[emoji738]
 
Kwenye App inaonesha 5 lakini kwenye web ni zaidi ya 5 mkuu..usishtuke
 
Kwenye App inaonesha 5 lakini kwenye web ni zaidi ya 5 mkuu..usishtuke
Ni kweli. Hata hizi emoji, kule kwenye web ni chache sana ilhali huku kwenye app ziko nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…