Kati ya mwanaume na mwanamke nani mwenye hilo jukumu
Hili jambo Linaniwazisha sana.. mmepanga out na rafiki/ mpenzi nani anaukuwa na jukumu la kumkumbusha mwenzake kwamba Leo ndio ile siku jiandae
Ipo hivi mimi sinaga kawaida ya kumkumbusha mtu ambae tulishakubaliana siku fulani tunatoka kwamba nimuulize Leo vipi tutaonaa yaani naonaga kama nitaonekana sina cha kufanya nasubiri hiyo siku nitolewe out
Huyu mtu wangu ana tabia moja unakuta anakwambia nimekumis nataka tuonane.
Unamuuliza labda lini anakwambia kesho kutwa mnakubaliana ikifika hiyo siku unashangaa kimya na hasemi chochote.
Ikipita hiyo labda baada ya siku mbili unasikia anakwambia mbona hujanikumbusha tuonane na tulipanga tuonane, basi mimi hapo nitazugazuga kuwa nilisahau
Sasa mtu atakulalamikia mara hutaki kuonana na mimi sijui hivi na hivi
Sasa nauliza nani mwenye jukumu kati ya mwanaume na mwanamke la kukumbushia mtoko?