Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Sio lazima cctv. Stenographers ni wataalam wa kuandika kile kinachoongewa. Wanaandika kwa hati mkato au shorthand. Cctv inakuwa kama back up tu.Hata zikiwekwa cctv zitaibwa tu
Unataka kundi la mihuni ianze kuumwa matumbo ya kuharisha?Vituo vya redio na TV wanaruhusiwa kuirusha live au rekodi hii kesi ya Mbowe?
Tusubirie kwanza maoni ya wanasheria...
Jaji ana makarani wake. Ana timu ya kutosha kutoka ofisi ya msajili wa division husika.Mara kadhaa nimesoma kuwa wakili walimuomba Jaji awasomee alichoandika. Hivi Mahakama haina stenographers ambao kazi yao ni kuweka kumbukumbu ya kinachoendelea?
Kama hiyo inashindikana, kwa nini wasirekodi kwa kutumia voice au video recorder? Mimi naona kumtegemea Jaji sio sahihi. Yeye achukuwe notes za kumsaidia lakini official kumbukumbu zichukuliww na mtu mwenye utaalam wa kufanya hivyo. Nadhani bungeni wapo.
Amandla...
Wako wapi? Wana rekodi kwa remote? Kwa nini Kibatala alipomuomba clarification kuhusu jambo fulani hakumuambia karani wake asome alicho andika?Jaji ana makarani wake. Ana timu ya kutosha kutoka ofisi ya msajili wa division husika.
Jaji ndio mwenyekiti wa session ya mahakama. Jaji ndio msemaji wa session.Wako wapi? Wana rekodi kwa remote? Kwa nini Kibatala alipomuomba clarification kuhusu jambo fulani hakumuambia karani wake asome alicho andika?
Sijawahi kusikia jaji akimuagiza karani akumbushie jambo ambalo mawakili hawalikumbuki. Yeye anasoma notes zake kila wakati. Kama hao makarani wapo basi hawatumiki au majaji hawana imani na uwezo wao.
Amandla...
Jaji ndio mwenyekiti wa session ya mahakama. Jaji ndio msemaji wa session.
Asante Mkuu. Hata katika vikao vyetu vya harusi, Mwenyekiti hachukui minutes. Hata bungeni sidhani kama Spika anafanya kazi za Katibu. Kwenye Mahakama za wenzetu wachukua kumbukumbu wanaonekana wazi. Hii inamruhusu Jaji ku concentrate kwenye yanayoendelea mbele yake na kuondoa hisia kuwa ataegemea upande mmoja katika utunzaji wake wa kumbukumbu...OK
..unasema Jaji ndio mwenyekiti wa session.
..mtoa mada anataka afahamishwe Katibu au mtunza kumbukumbu wa session ni nani?
Bado hii ni njia ya kijima, mbona bungeni wana mitambo ya kurekodi ili baadae iingie kwenye hansard? Kuna siku huyu jaji wa michango aliombwa atoe maelezo ya shahidi ya siku iliyopita akamdanganya wakili wa utetezi, Sema akina Kibatala wakakomaa mpaka akabadili..Jaji ana makarani wake. Ana timu ya kutosha kutoka ofisi ya msajili wa division husika.
Asante Mkuu. Hata katika vikao vyetu vya harusi, Mwenyekiti hachukui minutes. Hata bungeni sidhani kama Spika anafanya kazi za Katibu. Kwenye Mahakama za wenzetu wachukua kumbukumbu wanaonekana wazi. Hii inamruhusu Jaji ku concentrate kwenye yanayoendelea mbele yake na kuondoa hisia kuwa ataegemea upande mmoja katika utunzaji wake wa kumbukumbu.
Amandla...
Mbaya zaidi jaji anategemewa kuandika hizo notes ili zikamsaidie kwenye kuandaa hukumu, sasa inakuwaje kwenye kesi ya mchongo kama hii na jaji wa mchongo kama huyu, kuaminiwa kwenye notes zake?
Mahakama lazima ije na mbinu mpya za kuandika hizo notes, kwanza jaji kama mwanadamu kuna uwezekano mkubwa akasahau kuandika mambo ya muhimu yanayoweza kuja kuwa na maana kwenye hukumu.
Naunga mkono wazo la voice recorder ndio suluhisho la kudumu na la uhakika, japo nazo wanaweza kuzichezea kwa manufaa yao kama wanavyofanya kwenye ushahidi, ambapo tumeshaona upande wa jamhuri wanapewa nyaraka za kesi na mahakama kinyume cha sheria.
Sasa wewe unaejua si ungetuambia nani anachukua kumbukumbu Mahakamani? Mimi sijazungumzia weledi wa Jaji. Ningekua najua kila kitu nisingeuliza.Mitandaoni kila mtu anajua kila kitu. Shida yenu mnaangalia maneno mengi bila kujua kuwa pale kuna issues ambazo zinapingwa au kusupportiwa.
Majudge ni kama mwalimu tu kuelewa swali ndo mwanzo wa kufaulu. Angalia kesi ya uchaguzi kenya. Prof L. Alikuwa na maneno mazuri kwa walay kama Sisi Lakini alishindwa kwa kuwa mwenzake alikuwa specific kwenye issues at hand.
Kama unalosema ni kweli basi matatizo ni makubwa.Zile notes za jaji ndizo zinakaunt; ndizo kumbukumbu za kudumu, halali.