Habari waungwana?Hebu tujuzane kwenye hili:
Mwanamke aliyelala na mumewe usiku akawa anaota ndoto usingizini na ghafla akapiga kelele "jifiche mume wangu kaja" au mumewe aliyesikia hizo kelele na akanyakua nguo zake na kuruka dirishani na ghafla anagundua "alaaaah! kumbe nipo kwangu na nimelala na mke wangu". Hapa nani mmwenye makosa, mke/mume?
mmmmh!hapo patamu sipati picha wakiwa kwenye kikao chao cha chama hizo agenda wanazichangiaje kwa pamoja!
hapana watakuwa si wanachama wa infidelity, wanachama halali na hai hawafanyo hajizi wala hawakosei, hawa watakuwa ni wapinzani wa infidelity wenye tabia za infidelity.inaelekea hawa wote ni wanachama wa chama cha infidelity
Hapa wakiamua kuendelea kuishi pamoja waendelee, na wakiamua kupeana talaka wafanye hivyo!
mmmmh!hapo patamu sipati picha wakiwa kwenye kikao chao cha chama hizo agenda wanazichangiaje kwa pamoja!
mwenye makosa aliyejifichaHabari waungwana?Hebu tujuzane kwenye hili: