bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
Habari waungwana?Hebu tujuzane kwenye hili:
Mwanamke aliyelala na mumewe usiku akawa anaota ndoto usingizini na ghafla akapiga kelele "jifiche mume wangu kaja" au mumewe aliyesikia hizo kelele na akanyakua nguo zake na kuruka dirishani na ghafla anagundua "alaaaah! kumbe nipo kwangu na nimelala na mke wangu". Hapa nani mmwenye makosa, mke/mume?