Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Wapendwa, hebu leo tuzungumzie chai ya nazi! 😋
Kuna watu wanapenda chai ya maziwa, wengine chai ya tangawizi, lakini chai ya nazi ina ladha yake ya kipekee kabisa, hasa inapopikwa vizuri na kuambatana na vitafunwa kama maandazi, chapati au vitumbua.
Swali langu ni hili: Je, huwa mnapikaje chai ya nazi ili iwe na ladha nzuri na harufu ya kuvutia?
Je, mnatumia tui la nazi pekee, au mnaongeza maziwa, tangawizi, iliki au viungo vingine?
Me naombeni mnipe hizo tips jamani tushee upendo ili nimpikie shemeji yenu jamani 😀