Nani mwenye Teknolojia zaidi? Sisi Waafrika au wenzetu?

Zinatakiwa zipate kiongozi dikteta atakayekaa madarakani miaka 50, mwenye maono ya kuwekeza kwenye sayansi kivitendo, pamoja na kuwekeza na kuwaendeleza wavumbuzi wote wa ndani.​
Every Africa country inatakiwa iwe kama South Africa
 
Ishu ya akili Mungu sio mbaguzi katoa akili sawa kwa race zote.
Sio kweli sisi hatukupewa akili sawa kubali ukatae ndo mana unaona vidole havipo sawa mwingine kapewa ufup mwingine urefu, hatuwezi kufanya chochote bila kutumia technology Yao ivi umeshawahi kujiuliza ingekuaje kama wasingekuja wakoloni kututawala ingekuaje?? Leo hii tupo wise kwa sababu ya wazungu kama unabisha waangalie wahazabe sisi tunawaona sisi hawajui mswaki Wala kuoga ndo tungekua hivo
 
Mimi naona kinachotukwamisha ni mfumo wa elimu yaani degree haiwezi kujiajiri, na pia ukosefu wa vituo vya ubunifu. Mfano Marekani wana Silicon Valley ambao ni mji wa kiteknolojia yaani wabunifu wanaendelezwa pale.
 
Ni vyema kuwa na wanafunzi wengi wa VETA kuliko kuwa na degree zisizo na value
 
Shida wanaosomea degree wanafundishwa vitu vya kwenye makaratasi tu ila practical wanatoka kapa. Mfano unakuta mtu kasoma Electrical engineering ila hata kufunga umeme wa nyumbani kwao hajui.
 
Bro ndio maana tunasema heri VETA mtu practically atakuwa vizuri
 
Shida wanaosomea degree wanafundishwa vitu vya kwenye makaratasi tu ila practical wanatoka kapa. Mfano unakuta mtu kasoma Electrical engineering ila hata kufunga umeme wa nyumbani kwao hajui.
Kuna jamaa alisomea electric engineer duh alipewa kazi tu ya kufanya wiring ya nyumba alishindwa....

Ova
 
Back
Top Bottom