Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
- Thread starter
-
- #21
Every Africa country inatakiwa iwe kama South AfricaZinatakiwa zipate kiongozi dikteta atakayekaa madarakani miaka 50, mwenye maono ya kuwekeza kwenye sayansi kivitendo, pamoja na kuwekeza na kuwaendeleza wavumbuzi wote wa ndani.
Sio kweli sisi hatukupewa akili sawa kubali ukatae ndo mana unaona vidole havipo sawa mwingine kapewa ufup mwingine urefu, hatuwezi kufanya chochote bila kutumia technology Yao ivi umeshawahi kujiuliza ingekuaje kama wasingekuja wakoloni kututawala ingekuaje?? Leo hii tupo wise kwa sababu ya wazungu kama unabisha waangalie wahazabe sisi tunawaona sisi hawajui mswaki Wala kuoga ndo tungekua hivoIshu ya akili Mungu sio mbaguzi katoa akili sawa kwa race zote.
Wengi wanatamani kuwa hivyo, lakini kuwa vile ni vitendo na si manenoEvery Africa country inatakiwa iwe kama South Africa
Ni kweli mkuuWengi wanatamani kuwa hivyo, lakini kuwa vile ni vitendo na si maneno
Ni vyema kuwa na wanafunzi wengi wa VETA kuliko kuwa na degree zisizo na valueMimi naona kinachotukwamisha ni mfumo wa elimu yaani degree haiwezi kujiajiri, na pia ukosefu wa vituo vya ubunifu. Mfano Marekani wana Silicon Valley ambao ni mji wa kiteknolojia yaani wabunifu wanaendelezwa pale.
Shida wanaosomea degree wanafundishwa vitu vya kwenye makaratasi tu ila practical wanatoka kapa. Mfano unakuta mtu kasoma Electrical engineering ila hata kufunga umeme wa nyumbani kwao hajui.Ni vyema kuwa na wanafunzi wengi wa VETA kuliko kuwa na degree zisizo na value
Bro ndio maana tunasema heri VETA mtu practically atakuwa vizuriShida wanaosomea degree wanafundishwa vitu vya kwenye makaratasi tu ila practical wanatoka kapa. Mfano unakuta mtu kasoma Electrical engineering ila hata kufunga umeme wa nyumbani kwao hajui.
Mlikuwa mnatengeneza nini kwenye ivo viwandaViwanda vilianzia kwetu kabla ya nchi za magharibi
Vyungu Chuma na product nyingineMlikuwa mnatengeneza nini kwenye ivo viwanda
Ni maneno ambayo huwa tunafarijiana. Ni sawa na kusema ukiwa na cherehani nne basi una kiwandaViwanda vilianzia kwetu kabla ya nchi za magharibi
Kuna jamaa alisomea electric engineer duh alipewa kazi tu ya kufanya wiring ya nyumba alishindwa....Shida wanaosomea degree wanafundishwa vitu vya kwenye makaratasi tu ila practical wanatoka kapa. Mfano unakuta mtu kasoma Electrical engineering ila hata kufunga umeme wa nyumbani kwao hajui.