Nani Mwingine ana miche/ Cutting za Dragon fruit?

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Salama humu? nahitaji Dragon cuttings kama 1500 zinahitajika Tanga, najua Chaha anakuwa nazo sasa nimejaribu kumtafuta tangu leo asubuhi simpati anaye hitaji ni Mama ndugu yangu na ame stafu anataka kuwekeza Korogwe sasa katafuta bila mafanikio hivyo kama humu kuna mtu anazo anisaidia wakati huo nikiendelea kumtafuta Chasha hata manualy. nazihitaji kwa haraka sana wiki inayo anza hata kama sio kwa idadi hio leta
 
Mimi niliagiza Kenya, nakutumia namba pm tuwasiliane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…