MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Salama humu? nahitaji Dragon cuttings kama 1500 zinahitajika Tanga, najua Chaha anakuwa nazo sasa nimejaribu kumtafuta tangu leo asubuhi simpati anaye hitaji ni Mama ndugu yangu na ame stafu anataka kuwekeza Korogwe sasa katafuta bila mafanikio hivyo kama humu kuna mtu anazo anisaidia wakati huo nikiendelea kumtafuta Chasha hata manualy. nazihitaji kwa haraka sana wiki inayo anza hata kama sio kwa idadi hio leta