Nani mwingine anachukia Movie za mapenzi / romantic films na love stories kama mimi?

Nani mwingine anachukia Movie za mapenzi / romantic films na love stories kama mimi?

Ulivyokuwa na umri kama hao vijana ulikuwa unapeleka mambo yako mpute mpute.. Sasa vijana wanaenda na slow motion unashindwa kuwaelewa.

Yaani kwa kifupi: kipindi upo na umri wa hao vijana ulikuwa umezoea vya kunyonga. Sasa vya kuchinga ulikuwa huwezi.
 
Hata nilivyokua katika umri wao nilikua napenda kuangalia movie za kazi za kipolisi, uchunguzi, watu kuuliwa, kufichwa kwenye mafreezer, kesi mahakamani na mambo kama hayo.
Sijawahi kupenda filamu za mapenzi, hazina uhalisia na unakuta kuna vijana wadogo wanafikiri yanayotokea kwenye hizo filamu ndiyo itakua hivyo kwenye maisha, watasubiri sana!
 
Hizo mambo huwa siangalii,mi napenda movie za action,mabunduki ya kutosha,vifaru,RPG
Napenda pia, ila sometimes zinakuwaga na kamba hizo, unakuta risasi 20 zote zinamkosa mtu.

giphy.gif
 
Sijawahi kuyaelewa hayo mambo, movie mwanaume ana sura soft kama demu hapana kwa kweli. Mimi ukitaka nikae mbele ya screen niwekee mambo ya wakina boyka au tony jaa
 
Back
Top Bottom