DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kenya , Tanzania hakuna nchi yenye nafuu zote ni nchi za dunia ya tatuKenya Development Budget of sh 4,791,772,950,556.28
Kenya Development Budget of Sh 1,419,843,057,000
ππ
πNilikuwa naziona zina utoto. Lakini siku hizi, nimekamatika
Hata nilivyokua katika umri wao nilikua napenda kuangalia movie za kazi za kipolisi, uchunguzi, watu kuuliwa, kufichwa kwenye mafreezer, kesi mahakamani na mambo kama hayo.Ulivyokuwa na umri kama hao vijana ulikuwa unapeleka mambo yako mpute mpute.. Sasa vijana wanaenda na slow motion unashindwa kuwaelewa.
Yaani kwa kifupi: kipindi upo na umri wa hao vijana ulikuwa umezoea vya kunyonga. Sasa vya kuchinga ulikuwa huwezi.
Ndiyo.Labda na mimi nikuulize swali bila mapenzi wewe ungezaliwa Mshangazi dot com?
Napenda pia, ila sometimes zinakuwaga na kamba hizo, unakuta risasi 20 zote zinamkosa mtu.Hizo mambo huwa siangalii,mi napenda movie za action,mabunduki ya kutosha,vifaru,RPG
nobody is there to make u Happy
Umenishinda tabiaNdiyo.
Nimezaliwa kwa sababu wazazi wangu walikutana kimwili, haimaanishi ya kuwa walikua wapenzi. Labda ilikua one night stand au walizaa kimkataba, utajuaje π€£ π