Hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu.Habari zenu ndugu zangu natumai mko poa. Kuna jambo, huwa linaumiza sana acha niwashirkishe ndugu zangu.
Kuna wakati, naweza nikawa na mazungumzo na mtu aidha tumekwazana katika jambo fulani, aidha kibiashara, kijamii, kimahusiano n.k, naweza kuta nina hoja za msingi sana, bila matusi, kejeli wala dharau naweza kumweleza mtu huyo na akanielewa na mambo yakakaa sawa na tukaendelea kuheshimiana kama kawaida.
Tatizo linakuja pale ninapofika kwenye field (Yani ninapokutana na muhusika) anaweza akaongea neno likaniumiza hasira ulipuka na kujikuta nazungumza nisivyokusudia, na mara nyingi sizungumzi vitu vya msingi nilivyokusudia matokeo yake badala ya kuweka mambo sawa, ndio nazidi kuharibu.
Baadae akili ikutulia ndio naanza kujilaumu kwa nini, nilishindwa kudhibiti hasira zangu lkn inakuwa too late
Nipo hapa kwa msaada sio misemo ya wahenga
Aisee nyie ni pacha au?Jifunze kufanya meditation, itakusaidia
Huja Chelewa inawezekana,Habari zenu ndugu zangu natumai mko poa. Kuna jambo, huwa linaumiza sana acha niwashirkishe ndugu zangu.
Kuna wakati, naweza nikawa na mazungumzo na mtu aidha tumekwazana katika jambo fulani, aidha kibiashara, kijamii, kimahusiano n.k, naweza kuta nina hoja za msingi sana, bila matusi, kejeli wala dharau naweza kumweleza mtu huyo na akanielewa na mambo yakakaa sawa na tukaendelea kuheshimiana kama kawaida.
Tatizo linakuja pale ninapofika kwenye field (Yani ninapokutana na muhusika) anaweza akaongea neno likaniumiza hasira ulipuka na kujikuta nazungumza nisivyokusudia, na mara nyingi sizungumzi vitu vya msingi nilivyokusudia matokeo yake badala ya kuweka mambo sawa, ndio nazidi kuharibu.
Baadae akili ikutulia ndio naanza kujilaumu kwa nini, nilishindwa kudhibiti hasira zangu lkn inakuwa too late
😅 sharubu kivipiUislamu umetufundisha ukishajiona una hasira chukua udhu swali rakaa 2
Hlf ww inaonekana ni wale watu ambao mnajiweza kimaisha na kudharau wengine kwaio mtu akikukera kidogo tu unaona huyu ni mbwiga tu hana la kunifanya hii kitu iondoe akilini mwako
Hlf pia kama unafuga sharubu punguza sharubu , sharubu zinamuweka sheitani sasa ukikasirika yy huipandisha hasira kupitia sharubu
Inategemea na unaowaletea hasira.Habari zenu ndugu zangu natumai mko poa. Kuna jambo, huwa linaumiza sana acha niwashirkishe ndugu zangu.
Kuna wakati, naweza nikawa na mazungumzo na mtu aidha tumekwazana katika jambo fulani, aidha kibiashara, kijamii, kimahusiano n.k, naweza kuta nina hoja za msingi sana, bila matusi, kejeli wala dharau naweza kumweleza mtu huyo na akanielewa na mambo yakakaa sawa na tukaendelea kuheshimiana kama kawaida.
Tatizo linakuja pale ninapofika kwenye field (Yani ninapokutana na muhusika) anaweza akaongea neno likaniumiza hasira ulipuka na kujikuta nazungumza nisivyokusudia, na mara nyingi sizungumzi vitu vya msingi nilivyokusudia matokeo yake badala ya kuweka mambo sawa, ndio nazidi kuharibu.
Baadae akili ikutulia ndio naanza kujilaumu kwa nini, nilishindwa kudhibiti hasira zangu lkn inakuwa too late
ChaiUislamu umetufundisha ukishajiona una hasira chukua udhu swali rakaa 2