Nani ni genius kati ya Mpina vs Bashe au Tulia vs Mpina

GENIUS IN WHAT SENSE? KAMA MITHILI YA ALBERT EINSTEIN? IF THIS IS WHAT YOU MEAN , HAKUNA, HAKUNA, HAKUNA.

ILA KATIKA SIASA ZA UTANZANIA NA UWAKILISHI BUNGENI, MPINA IS GREAT, ANAFANYA KWELI KAZI YA MBUNGE. HAWA WENGINE NI WEZI, MACHOKORAA, WAPIGAJI, WAHUNI ....YOU NAME THEM
 
Hakuna Genius hapo, wote ni akili za kawaida.

Mpina anachohoji ni kitu cha kawaida sana ambacho kinahitaji akili za kawaida, hawa wengine wanawaza kiCCM CCM yaani defensive mode au hata denial mode ili tu kulinda uwepo wa CCM na vyeo vya mabosi wao waliowapa kazi.

Watanzania tunapaswa kuwa na akili huru na sio ugenius, tunaona ni ugenius kwasababu tumezoe kuishi kigangakiganga na kinafiki.
 
Genius ni Bashe, Ndugu Mpina ni Angelou's!!

Asili ya Bashe ni chini, Mpina atoka Juu.
 
Kwa mujibu wa sheria ya ardhi ya Kijiji, (The Village Land Act, Cap 114) na kanuni zake, serikali ya Kijiji hairuhusiwi kugawa ardhi ambayo inazidi ekari 50.

Mpina amegawiwa ekari 1000, kubwa zaidi mara 20 kuliko Ile ambayo Kijiji wanaruhusiwa.
Ni wazi kwamba Mpina alihonga viongozi wa serikali ya Kijiji ili apate ardhi hiyo. Alitoa rushwa.

Wizara ya Ardhi badala ya kuunda taskforce kumfuatilia huyu mtoa rushwa na kufuta umiliki wake, abaki na ekari 49.

Alitetewa na jiwe wakati hii inaibuka, akaizima, akajua imeisha, mali ya umma ukiiba, umma hautakuacha.
 
Hon. Mpina has extraordinary intellectual power in logically researching facts, analyzing details, examining the evidence's veracity, and substantiating the findings with confidence. He has superb audacity in telling the citizens about the truth and lies mingling around the sailing boat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…