Nani ni kiungo bora kati ya Chama na Niyonzima?

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Klabu ya Simba ina viungo wazuri kwa kipindi hili. Lakini je nani ni bora na anafaa kuanza kikosi cha kwanza kati ya Chama na Haruna Niyonzima?
 
Mimi nimewaona wote ni bora japo Niyonzima wa Mapinduzi cup kiwango chake kimerejea. Siku Kocha akiamua kuwapanga wote wanaweza kutoa burudani murua.
 
Hila kwa mimi naona kwa vile wapo ndani ya Simba na wamesajiliwa na Simba wachezaji wote ni bora, tukianza kumsifu mmoja mmoja, wengine watahisi awana mchango wowote kwenye timu mwisho wa siku kunaweza kutokea mpasuko mkubwa kwa baadhi ya wachezaji, kwa kujiona awathaminiwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mchezaji mzuri wa kiungo hatakiwi kukaa na mpira kwa sec 9 bila sababu sasa niyonzima anakaa na mpira kwa zaid ya dk 1 bila sababu za msingi ila ana udambwi udambwi mwiiiiiingi. chama is the best ila mimi yanga lialia
 
Sasa mtu kama Salamba na Zana hata wakijiona hawathaminiwi kuna tatzo gan?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…