Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pilau na mlenda wapi na wapi? Acha kumlinganisha chama na huo upuuziNani bora kati ya viungo Hawa mafundi?
Nyie kumbe mnataka burudani Uwanjani badala ya ushindi?kweli Rage hakukosea kuwaita MambumbumbuMimi nimewaona wote ni bora japo Niyonzima wa Mapinduzi cup kiwango chake kimerejea. Siku Kocha akiamua kuwapanga wote wanaweza kutoa burudani murua.
Sio ana kitu cha ziada kidogo Chama yuko vizuri sana mkuu Ndumbula Ndema:Nionzima anajua ila anacheza sana na jukwaa na kupoza movement kwa kukaa sana na mpira japo anajicho la pasi (mtazamo wakati yupo kwetu Jangwani),kwa mikia huko Nadhani Chama anakitu cha ziada kidogo
Yeah,ni mchezaji aliyekamilika anakaba na kushambulia,then Nionzima anajua kushambulia tu kukaba hajuiSio ana kitu cha ziada kidogo Chama yuko vizuri sana mkuu Ndumbula Ndema:
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mtu kama Salamba na Zana hata wakijiona hawathaminiwi kuna tatzo gan?Hila kwa mimi naona kwa vile wapo ndani ya Simba na wamesajiliwa na Simba wachezaji wote ni bora, tukianza kumsifu mmoja mmoja, wengine watahisi awana mchango wowote kwenye timu mwisho wa siku kunaweza kutokea mpasuko mkubwa kwa baadhi ya wachezaji, kwa kujiona awathaminiwi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna tatizo,hawa wapuuzi hata kwenye mazoezi wasipangweSasa mtu kama Salamba na Zana hata wakijiona hawathaminiwi kuna tatzo gan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zana ni tatizo ila huyu salamba anajisahau tu, ila mpira anajuaHakuna tatizo,hawa wapuuzi hata kwenye mazoezi wasipangwe