Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karius
UPI mkuuacha utani uo
Utan upi mkuu ?!acha utani uo
Utan upi mkuu ?!
Mchezaji bora atapewa Ronaldo
Mano subiri Salah endeleeni kusubiri
Nimerekebishahapana kesi yakupewa. Piga kura yako weye uchague unaemuona anastahiki.
Hivi JF kuna kuleft kama group za WhatsApp eeh!!Huyo Mo Salah amewafanya kuwa na Mizuka kila kitu Mo Salah.
Akipata tuzo ya mchezaji bora wa UEFA naleft JF.
Kitu gani kina mfanya Salah awe boraHivi JF kuna kuleft kama group za WhatsApp eeh!!
Mo Salah anaweza asipewe mchezaji bora wa UEFA kwa hila na ubaguzi wa wazungu tu,hilo halitokua jambo la ajabu,
Salah hahitaji kutangazwa na UEFA kua best bali yeye ni best tayari na ndio maana wakamuumiza kwenye final coz mziki wake wanaujua.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] "Yeye ni Best tayari ndio maana wakamuumiza"Hivi JF kuna kuleft kama group za WhatsApp eeh!!
Mo Salah anaweza asipewe mchezaji bora wa UEFA kwa hila na ubaguzi wa wazungu tu,hilo halitokua jambo la ajabu,
Salah hahitaji kutangazwa na UEFA kua best bali yeye ni best tayari na ndio maana wakamuumiza kwenye final coz mziki wake wanaujua.
Kitu gani kina mfanya Salah awe bora
Umesema mchezaji bora wa Champions league- Yeye ndio aliekua most consistence player through the season. Tokea msimu umeanza mpaka umemaliza alikua yupo kwenye form nzuri sana. (Ronaldo alikata karibu miezi mitatu anasuasua kabisa kwenye kufunga na kushindwa kucheza vizuri kabisa)
- Ametowa performances bora kabisa za champion league kwenye hatua bora kabisa za Robo Fainali na Nusu Fainall. (wakati ronaldo amecheza mpira mbovu kabisa kwenye nusu fainal pamoja na Fainal)
- Performance yake katika Mech ya Roma Anfield ilikua ndio best performance for any player msimu huu kwenye champion league.
Sasa unafikiri Ramos alimvunja bega kwanini? Alijua jamaa ni threat.[emoji3] [emoji3] [emoji3] "Yeye ni Best tayari ndio maana wakamuumiza"
Safi mkuu.- Yeye ndio aliekua most consistence player through the season. Tokea msimu umeanza mpaka umemaliza alikua yupo kwenye form nzuri sana. (Ronaldo alikata karibu miezi mitatu anasuasua kabisa kwenye kufunga na kushindwa kucheza vizuri kabisa)