Nani ni mchezaji bora wa UEFA Champion League Msimu wa 2017- 2018

Nani ni mchezaji bora wa UEFA Champion League Msimu wa 2017- 2018


  • Total voters
    57
  • Poll closed .

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
11,880
Reaction score
10,372
JF tuchague nasie kwetu. Tupia kura yako hapa.
 
Huyo Mo Salah amewafanya kuwa na Mizuka kila kitu Mo Salah.

Akipata tuzo ya mchezaji bora wa UEFA naleft JF.
Hivi JF kuna kuleft kama group za WhatsApp eeh!!

Mo Salah anaweza asipewe mchezaji bora wa UEFA kwa hila na ubaguzi wa wazungu tu,hilo halitokua jambo la ajabu,

Salah hahitaji kutangazwa na UEFA kua best bali yeye ni best tayari na ndio maana wakamuumiza kwenye final coz mziki wake wanaujua.
 
Kitu gani kina mfanya Salah awe bora
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] "Yeye ni Best tayari ndio maana wakamuumiza"
 
Kitu gani kina mfanya Salah awe bora

- Yeye ndio aliekua most consistence player through the season. Tokea msimu umeanza mpaka umemaliza alikua yupo kwenye form nzuri sana. (Ronaldo alikata karibu miezi mitatu anasuasua kabisa kwenye kufunga na kushindwa kucheza vizuri kabisa)
- Ametowa performances bora kabisa za champion league kwenye hatua bora kabisa za Robo Fainali na Nusu Fainall. (wakati ronaldo amecheza mpira mbovu kabisa kwenye nusu fainal pamoja na Fainal)
- Performance yake katika Mech ya Roma Anfield ilikua ndio best performance for any player msimu huu kwenye champion league.
 
Umesema mchezaji bora wa Champions league

Salah aliumia mapema sana huez consider performance yake ya robo fainali
Yes Ronaldo alicheza hovyo nusu fainali ya pili na fainali.
Ila kumbuka kuwa alifunga mechi 10 mfululizo zote aki perform.
Salah ana goli 10 assist 4
Ronaldo goli 15 assist 2

Yaa. Kumpita Ronaldo assist 2 ndio kumfanye awe bora? Mkajipange mashabiki wa Salah
 
Safi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…