Nani ni mchezaji bora wa UEFA Champion League Msimu wa 2017- 2018

Nani ni mchezaji bora wa UEFA Champion League Msimu wa 2017- 2018

  • Total voters
    57
  • Poll closed .
Sasa kumbe wewe unaongelea top scorer eeeh!! Umeielewa mada lakini?
 
Mkuu safi sana wengi wao huendeshwa na mahaba tu ila si uhalisia. Salaah anastahili.
 
Huwezi consider vipi? alikua ni match winner kwenye both games alafu unasema huwezi konsider?
kuwa na 15 goals sio tatizo wapi umezifunga? mechi za vichakane za Bate?
Salah zaidi ya goalscorer anaifanya timu inacheza vizuri zaidi. tafauti na jamaa yako kazi kuvizia tu.
 
Khaaa!
Yaan kufunga dhidi ya PSG, Juventus, Tot na Dortmund
Ni sawa na kuwafunga Roma, ManCity na Porto?

You guys mlikuwa mna angalia mpira kweli?
Salaha hakukutana na tim yyte ya maana kuanzia makundi mpaka fainali
 
Wewe unayejua kusoma ina maana hukujua kua umeandika pia na magoli ya kufunga? Au mradi tu utoe kashfa za kike?
Sasa wewe ndio unatoa kashfa za mimba
Nimeweka magoli na assist halaf mtu anachagua kifungu cha magoli tuu ulitaka nimsaidiaje?
Ukitoa magoli na Assist mnataka tumjaji vipi mchezaji kuwa ni bora?
 
Kura yangu kwa Mo Salah, The boy was the best since kwenye mtoano. His performance against Man cty and Roma was unbelievable
Mtu yeyote anayeujua mpira atakwambia ni Salah,wengine wanaongelea mahaba,Salah ni fighter huwezi mlinganisha na huyo mviziaji.
[/QUOTE]
 
Khaaa!
Yaan kufunga dhidi ya PSG, Juventus, Tot na Dortmund
Ni sawa na kuwafunga Roma, ManCity na Porto?

You guys mlikuwa mna angalia mpira kweli?
Salaha hakukutana na tim yyte ya maana kuanzia makundi mpaka fainali

labda ungetusaidia kutwambia ubora Dortmand? timu iliomaliza na point 2 kwenye makundi.
 
Mo Salah is overrated kwa kua anacheza England full stop.
Hana maajabu yoyote ya maana.
Anachokifanya kinafanywa na Ronaldo na Messi mpaka tumekichoka.
Baada ya povu nirudi kwenye mada sasa, Mchezaji bora ni Ronaldo maana:-
-amefunga goli 15 na ametoa assist 2 hivyo ameshiriki kwa 52% kwenye magoli yote ya Madrid msimu huu (33 goals)
-Amefunga mechi 10 mfululizo za UEFA.
-Amekua mfungaji bora wa UCL
-Ameisaidia timu yake kutwaa kombe.
Nipeni takwimu za mchezaji yoyote ambazo ni bora zaidi ya hizo.
 
labda ungetusaidia kutwambia ubora Dortmand? timu iliomaliza na point 2 kwenye makundi.
Haya tusaidie kutuambia ubora wa Maribor ba Dortmund viko sawa?

Maana kwenye magroup ndio Salah alokutana nao hao.akawafunga.
 
Mashabiki wa andunje wote wamehamia kwenye kivuli cha [HASHTAG]#team[/HASHTAG] Mo Salah
 
Hiv mfungaji bora na mchezaji bora ni sawa?
Nakupa mkuu 100% watu wamebakia kukariri tu Ronaldo hawajui kutofautisha mfungaji bora na mchezaji bora. Ronaldo ni mfungaji lakini sio mchezaji bora kulikuwa na watu huwapokonyi mpira kina xavi sijui Iniesta na wako wengi tu.
 
Kwa hiyo haiwezekani mfungaji bora akawa mchezaji bora?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…