Nani ni mchezaji bora wa UEFA Champion League Msimu wa 2017- 2018

Nani ni mchezaji bora wa UEFA Champion League Msimu wa 2017- 2018


  • Total voters
    57
  • Poll closed .
kwangu naona kipa wa real madrid anastahili kabisa heshima hii sema basi tuu kwa vile ni kipa atapotezewa maana sote tumeona his heroic perfomances especially against Bayern munich bila kumsahau Marcelo,ameupigwa mwingi sana sema na yeye hata hatajwi sijui kisa nini wakati katika kila shambulizi la hatari la Real linamhusisha yeye kwa njia moja au nyingine pamoja na Ramos na Ronaldo wamechangia sana Real kuwa pale.
 
Kumbe mnazungumzia mfungaji bora?
 
Beki au golikipa hana sifa ya kuwa mchezaji bira?
Lakin hapo hatuwashindanishi magolikipa
Nitajie mara ya mwisho beki alikuwa mchezaji bora lin?
Magolikipa hadi wana tuzo zao golikipa bora
 
Nimeweka assists mbona mnaziruka?
Nje ya kufunga na Assist unataka tumjaji vipi mchezaji bora?

Kazi kweli hichi kizazi cha sasa.

Labda ungelitwambia Cannavaro alikua na magoli mangapi na assist ngapi alipokua mchezaji bora mwaka 2006.
Zidane alikua na magoli mangapi na assist ngapi alipokua mchezaji bora 1998.
Luis Figo alikua na assist ngapi na magoli mangapi aliposhinda Baloon d'or mwaka 2000
 
Uwanjani kila mchezaji ana kazi yake na ana vitu vinaonesha akifanya kazi yake

Beki au kiungo mkabaji tuta mjaji kwa tackles won, sliding tackels na on and off the ball defensive stats.

Kiungo mshambuliaji tuta mjaji kwa assists ambayo ndio playmaking ability

Mshambuliaji tutamjaji kwa magoli na assists.

Luis Figo alipo shinda alikuwa mchezaji mwenye assist nyingi kuliko wote ulaya, na zilikuwa na impacts na kwakuwa alikuwa kiungo
Na Cannavaro alipewa kwa saves na tackles nk kwakuwa alikuwa beki


Tuje kwa Ronaldo na Salah hawa wote ni attacking players, unataka tuwajaji kwa kumbia kimbia uwanjani? Lazima parameters zao zitakuwa ni Goals and Assists ambazo zina onesha uwezo wao huo wa kushambulia.

Mpaka sasa sijaona mnatoa sababu ya maana ya Salah kumpita Ronaldo
 

inasikitisha kabisa hali ilivofikia.

Football imeguzwa kuwa mchezo wakudili na statistic tu.
unafaham kama Beckam alikua na assist na magoli mengi zaidi ya Figo?
1998 Zidane hakuongoza kwa assist wala magoli kwenye mashindano yoyote.
 
inasikitisha kabisa hali ilivofikia.

Football imeguzwa kuwa mchezo wakudili na statistic tu.
unafaham kama Beckam alikua na assist na magoli mengi zaidi ya Figo?
1998 Zidane hakuongoza kwa assist wala magoli kwenye mashindano yoyote.
Mwaha 2000 beckam na Figo it was so close their stats na kibaya ni kuwa wote hawakushinda major honours.
Figo alishinda kwa kura 12 this was ckose in all aspects kwa kuwa hakuna alo shinda club bingwa. The margin was not clear

Zidane 98 he won the world cup,

data +impact iliamua hiyo miaka

Ndio maana in modern football era huna magoli huna assists huna major cups
Imekula kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…