Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
KariuKariusKarius anastahili kafungwa magol bora sanamuache mshkaji apumzike kajaa stress mwenzenu msimtajetaje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KariuKariusKarius anastahili kafungwa magol bora sanamuache mshkaji apumzike kajaa stress mwenzenu msimtajetaje.
Inawezekana sana tu lakini hakuwa mchezaji bora ila mfungaji bora.Kwa hiyo haiwezekani mfungaji bora akawa mchezaji bora?
Kilicho mfanya Salah awe mchezaji bora ni nin?Inawezekana sana tu lakini hakuwa mchezaji bora ila mfungaji bora.
Kumbe mnazungumzia mfungaji bora?Umesema mchezaji bora wa Champions league
Salah aliumia mapema sana huez consider performance yake ya robo fainali
Yes Ronaldo alicheza hovyo nusu fainali ya pili na fainali.
Ila kumbuka kuwa alifunga mechi 10 mfululizo zote aki perform.
Salah ana goli 10 assist 4
Ronaldo goli 15 assist 2
Yaa. Kumpita Ronaldo assist 2 ndio kumfanye awe bora? Mkajipange mashabiki wa Salah
Nimeweka assists mbona mnaziruka?Kumbe mnazungumzia mfungaji bora?
Beki au golikipa hana sifa ya kuwa mchezaji bira?Nimeweka assists mbona mnaziruka?
Nje ya kufunga na Assist unataka tumjaji vipi mchezaji bora?
Lakin hapo hatuwashindanishi magolikipaBeki au golikipa hana sifa ya kuwa mchezaji bira?
Nimeweka assists mbona mnaziruka?
Nje ya kufunga na Assist unataka tumjaji vipi mchezaji bora?
Wengine ni nominees.Mchezaji bora ni Ronaldo
Mano subiri Salah endeleeni kusubiri
Uwanjani kila mchezaji ana kazi yake na ana vitu vinaonesha akifanya kazi yakeKazi kweli hichi kizazi cha sasa.
Labda ungelitwambia Cannavaro alikua na magoli mangapi na assist ngapi alipokua mchezaji bora mwaka 2006.
Zidane alikua na magoli mangapi na assist ngapi alipokua mchezaji bora 1998.
Luis Figo alikua na assist ngapi na magoli mangapi aliposhinda Baloon d'or mwaka 2000
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Wengine ni nominees.
Mshindi ni Ronaldo
Uwanjani kila mchezaji ana kazi yake na ana vitu vinaonesha akifanya kazi yake
Beki au kiungo mkabaji tuta mjaji kwa tackles won, sliding tackels na on and off the ball defensive stats.
Kiungo mshambuliaji tuta mjaji kwa assists ambayo ndio playmaking ability
Mshambuliaji tutamjaji kwa magoli na assists.
Luis Figo alipo shinda alikuwa mchezaji mwenye assist nyingi kuliko wote ulaya, na zilikuwa na impacts na kwakuwa alikuwa kiungo
Na Cannavaro alipewa kwa saves na tackles nk kwakuwa alikuwa beki
Tuje kwa Ronaldo na Salah hawa wote ni attacking players, unataka tuwajaji kwa kumbia kimbia uwanjani? Lazima parameters zao zitakuwa ni Goals and Assists ambazo zina onesha uwezo wao huo wa kushambulia.
Mpaka sasa sijaona mnatoa sababu ya maana ya Salah kumpita Ronaldo
Mwaha 2000 beckam na Figo it was so close their stats na kibaya ni kuwa wote hawakushinda major honours.inasikitisha kabisa hali ilivofikia.
Football imeguzwa kuwa mchezo wakudili na statistic tu.
unafaham kama Beckam alikua na assist na magoli mengi zaidi ya Figo?
1998 Zidane hakuongoza kwa assist wala magoli kwenye mashindano yoyote.