Nani ni mchezaji bora wa UEFA Champion League Msimu wa 2017- 2018

  • Total voters
    57
  • Poll closed .
yani watu kweli mna chuki sasa....... mfungaji ana magoli kumi na tano ...anaongoza ufungaji....anayemfuatia amefunga kumi.......amepiga na timu kubwa kama juve na psg hapo yupo na baye rn ....... umri ni 33 .....anayepambanishwa ana sijui 26 .......kweli bado mtu unamtaja salah? team messi bhana......dah
 
- Yeye ndio aliekua most consistence player through the season. Tokea msimu umeanza mpaka umemaliza alikua yupo kwenye form nzuri sana. (Ronaldo alikata karibu miezi mitatu anasuasua kabisa kwenye kufunga na kushindwa kucheza vizuri kabisa)
- Ametowa performances bora kabisa za champion league kwenye hatua bora kabisa za Robo Fainali na Nusu Fainall. (wakati ronaldo amecheza mpira mbovu kabisa kwenye nusu fainal pamoja na Fainal)
- Performance yake katika Mech ya Roma Anfield ilikua ndio best performance for any player msimu huu kwenye champion league.
sasa mkuu hapo bado japo alikua na top form msimu mzima overall goalz kazidiwa na aliyesuasua.... hapo messi naye kamzidi cr goal moja tu na cr hajacheza mech kumi na moja ...... wampe tu ballon dor cr
 
- Kwanza Ronaldo hajamzidi kimagoli Salah kiujumla, wote wamefunga magoli 44.
- Nahivi hebu tukuulize kwaiyo ukifunga zaidi ndio upewe uchezaji bora ? sasa kuna mana gani kuwa na zawadi ya mfungaji bora mbali na mchezaji bora mbali?
 
yani watu kweli mna chuki sasa....... mfungaji ana magoli kumi na tano ...anaongoza ufungaji....anayemfuatia amefunga kumi.......amepiga na timu kubwa kama juve na psg hapo yupo na baye rn ....... umri ni 33 .....anayepambanishwa ana sijui 26 .......kweli bado mtu unamtaja salah? team messi bhana......dah

kwahiyo ukishakua na umri mkubwa ndio ufanyiwe upendeleo?
upo kwenye kuhisabu magoli tu umemuona Salah unavotengeneza nafasi kwa wenziwe ? umemuona salah anavoisukuma timu kimashambulizi?
 
- Kwanza Ronaldo hajamzidi kimagoli Salah kiujumla, wote wamefunga magoli 44.
- Nahivi hebu tukuulize kwaiyo ukifunga zaidi ndio upewe uchezaji bora ? sasa kuna mana gani kuwa na zawadi ya mfungaji bora mbali na mchezaji bora mbali?
Mnazungumzia UEFA Champions League habari ya kufungana kwa magoli iko kwenye mashindano yote ambapo ni nje ya Mada iliyopo mbeleni. Nivyema ukajizatiti kwenye muktadha husika.
 
sasa mkuu hapo bado japo alikua na top form msimu mzima overall goalz kazidiwa na aliyesuasua.... hapo messi naye kamzidi cr goal moja tu na cr hajacheza mech kumi na moja ...... wampe tu ballon dor cr

Mnazungumzia UEFA Champions League habari ya kufungana kwa magoli iko kwenye mashindano yote ambapo ni nje ya Mada iliyopo mbeleni. Nivyema ukajizatiti kwenye muktadha husika.

weye ndie ulieanza kutoka nje ya mada. Mie nimekujibu kwa mujibu wa maelezo yako.
 
- Kwanza Ronaldo hajamzidi kimagoli Salah kiujumla, wote wamefunga magoli 44.
- Nahivi hebu tukuulize kwaiyo ukifunga zaidi ndio upewe uchezaji bora ? sasa kuna mana gani kuwa na zawadi ya mfungaji bora mbali na mchezaji bora mbali?
hao ni ma straika mkuu tunaangalia magoli.......na assist au wanaesabu na vyenga?
 
kwahiyo ukishakua na umri mkubwa ndio ufanyiwe upendeleo?
upo kwenye kuhisabu magoli tu umemuona Salah unavotengeneza nafasi kwa wenziwe ? umemuona salah anavoisukuma timu kimashambulizi?
sasa.....jomba kweli unataka cr asukume sasa hv mashambulizi kweli? na umri wake wote ule.......alafu wengi naona mpira mnausikia tu........yani hata usukumeje mashambulizi kama hufungi basi hamna kitu......kazi ya kusukuma mashambulizi cr mwnyw kaifanya sana enzi zake.....kipind damu inachemka.....alafu pale madrid we unaona cr atatengeneza mashambulizi kwa nani......na wakati yeye ndo anatakiwa atengenezewe......kwamba ronaldo amtengenezee kroos...benzema au isco....kwa kweli uefa hii kama kwako salah ....utakua umependelea tu ila takwimu ziko wazi kabisa ronaldo ameprove yeye ni nani
 
- Kwanza Ronaldo hajamzidi kimagoli Salah kiujumla, wote wamefunga magoli 44.
- Nahivi hebu tukuulize kwaiyo ukifunga zaidi ndio upewe uchezaji bora ? sasa kuna mana gani kuwa na zawadi ya mfungaji bora mbali na mchezaji bora mbali?
mechi kumi na moja less hapo....kwa a 33 year old cr.
 
weye ndie ulieanza kutoka nje ya mada. Mie nimekujibu kwa mujibu wa maelezo yako.
Nilikua najaribu kukumbusha tu Mkuu mimi sihuyo nayeye mkumbushe Mada inazungumzia kitu gani!

Mimi nimpenzi na mshabiki Mkubwa Sana wa Messi lakini kwenye hili uchezaji bora Nampa Ronaldo kwakua tu ni attacker otherwise hii ilikua ni tuzo ya Sergio Ramos.
 
Umesema mchezaji bora wa Champions league

Salah aliumia mapema sana huez consider performance yake ya robo fainali
Yes Ronaldo alicheza hovyo nusu fainali ya pili na fainali.
Ila kumbuka kuwa alifunga mechi 10 mfululizo zote aki perform.
Salah ana goli 10 assist 4
Ronaldo goli 15 assist 2

Yaa. Kumpita Ronaldo assist 2 ndio kumfanye awe bora? Mkajipange mashabiki wa Salah
Fainali ya Kombe la Dunia 2006Zidane ilikuwaje na mbona akawa mchezaji Bora wa Kombe la Dunia?
 
Back
Top Bottom