Nani ni mfalme wa Rhumba kwa sasa. Ferre Gola au Fally Ipupa.?

Nani ni mfalme wa Rhumba kwa sasa. Ferre Gola au Fally Ipupa.?

Wote wakali Ila fally ipupa ni moto ya kuotea mumbali fally ipupa ni mutu iko na mavokali ni Namba moya
 
Chuma moja inaitwa One Love...aisee ina dundo moja la kwenda Mikoani😀😀😀😀😀
 
Ferre gola Le Chante,,Le padre...vocal ya fere Gola ni habari nyingine..sikiliza poisson de avril,,3eme doigt ..San kilos...alafu Rudi hapa..
 
Back
Top Bottom