Nani ni MM, MM1, MM2 na MM3 ndani ya ACT-Tanzania?

Nani ni MM, MM1, MM2 na MM3 ndani ya ACT-Tanzania?

Hapo walipofikia,mda si mrefu kila kitu kitakuwa hadharani.Limbu akimwaga mboga Mwigamba anamwaga ugali.Role ya Zitto itafahamika tu.Usaliti dhambi mbaya sana
 
Naomba kujua,ndani ya kadhia hii ya ACT-Tanzania MM,MM1,MM2 na MM3 ni akina nani?
MM2 puzzle solved!! It's Waitara
 
MM2 puzzle solved!! It's Waitara
Mkuu mbona haya mambo yanafukuliwa kwa kasi sana !
 
Bottom line ni kwamba Ukweli huwa unachukua miaka mingi ila ipo siku utafichuka tu!! Huyo MM 1 mpaka 3 wote wapo CCM leo hii eti ndio walitaka mabadiliko CCM? imagine wangeachiwa chama leo si CHADEMA ingekua imekufa?
Aiseeee
 
Walijalibu kukivuruga chama wakakwama vibaya leo ote wapo huko magambani zitto kabaki pekeake Mwigamba Kitila Waitara Mchange ndio watukanaji namba 1 wa CHADEMA na kulipwa pia wanalipwa pambafuuu kabisa
 
Back
Top Bottom