Nani ni mmiliki wa nchi yetu ya Tanzania?

Nani ni mmiliki wa nchi yetu ya Tanzania?

chinatown

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
1,232
Reaction score
1,105
Napata mashaka makubwa sana pale ninapoona viongozi wetu wanafanya maamuzi ya kuliangamiza taifa. Mbaya zaidi wale wanaofungua viywa vyao wanatishwa na kupotezwa .hivi heri ya viongozi ni ipi?

Hivi kweli mama anaridhia haya yanayoendelea katika nchi yetu? na kwa nini iwe hivi? hivi mtu mwenye mawazo tofauti ni adui? jamani hata viongozi walioua watu wengiii duniani nao ilifika muda wakafa au kuuliwa.

Taifa letu halina afya kwa kweli embu viongozi wa dini, madhebu tokeeni mbele mkemee suala hili maana hata hao kondoo mnao wachunga wataisha
 
Mafisadi na machawa, wakishirikiana na waarabu wa DP World, ndio wanamiliki nchi hii kwa 99%
 
wanasiasa,wafanyabiashara wakubwa i mean madon wenye mishipa yao!,mijitu yenye pesa ambazo wameamua wazitumie kutawala!
 
Back
Top Bottom